PROJECT-MIRADI

Majengo ya miradi ya kituo huko Njia panda.

Ukumbi wa mikutano na sherehe Mbalimabali huko njia panda.Ukumbi ulijengwa kwa madhumuni ya kutoa semina kuhusu haki za watoto walemavu na kukodisha.

Jengo hili ni kwa ajili ya vibanda

Jengo hili ni kwa ajili ya miradi

MIRADI KWA UJUMLA

 • Siuyu madukani kuna vyumba vitatu vya kukodisha kama kioski.
 • katika kituo hiki  pia kuna miradi ya kuranda na kukata mbao hapa

 • Pia hapa Siuyu madukani tuna mashine ya kukamua alizeti

 • Siuyu Njia panda,kilometa 5 kutoka hapa kuna vyumba 9 vya kukodisha

 • Tumemaliza kujenga ukumbi na tukipata umeme karibuni tutakuwa na mashine ya kukamua alizeti na mashine ya kusaga.
 • Singida mjini kuna vyumba vinne vya kukodisha
 • Na  tunajenga  nyumba mbili au tatu za kukodisha.
Lengo ni kupata walau nusu ya pesa ya kuendesha Kituo na miradi mbalimbali ya hapa. Lakini hata hivyo ni kidogo kwa mfano mahindi tunatumia zaidi ya gunia moja kila wiki, bila kuhesabu mambo kama sabuni, dawa ya choo, mafuta, unga. maharage, umeme n.k.

PROJECTS IN GENERAL

The hope is that in the future when all thebprojects are in place more than half the running costs of the Centre would be guaranteed by these self-reliance projects, but even if all are up and running, we will still be very dependant on the generousity of people of goodwill.

we have:-

 • 3 kiosks(small shopfronts)for rent in Siuyu Village. Also in Siuyu village a machine to cut and plane timber and a machine for processing sunflower - making cooking oil.
 • At Crossroads -about 4 kilometres from here, a Hall that is complete, it will be used for giving of seminars on rights of handicapped child and also used for rent as income generating project.
 • Awaiting installation of electricity a machine for making sunflower oil and machine for grinding corn-already procured.
 • In Singida town there are four rooms for rent.

Projected is the building of at least three houses in Singida town for rent-if money comes for these.

 

Who's Online

We have 2 guests online

OUR STAFF

 

 

VIONGOZI WETU

Kuna msimamizi wa Kituo Fr.Tom Ryan SCA, na msaidizi wake Sr.Rosemary Ombay,SAC Occupation Therapist. Pia kunawasaidizi ambao wanalipwa mshahara-mdogo. Matron,na watu wawili wa stoo.Akina mama kumi ambao wanakuja kwa zamu yaani watano(5), asubuhi saa 12:30 hadi 7:30 mchana na watano saa 7.00 mchana mpaka saa 12:30 jioni. Wakina mama hawa huwatayarisha watoto kwenda shule kupika chakula,kudeki na kufua nguo n.k. Wapo wakina mama wawili ambao ni wasaidizi wa walimu wa watoto wa mtindio wa ubongo. Pia kuna msichana mmoja mlemavu ambaye hutunza na kushona nguo za watoto.Wapo wakinamama wawili na akina baba wawili ambao huja kulala usiku. Hawa wote pamoja na watu wa mshahara hujitolea sehemu kubwa. Ni wanachama wa "Umoja wa Utume  Mkatoliki".

OUR STAFF

The Director of the center is Fr Tom Ryan and Assistant Director is Sr Rosemary Ombay SAC (she is a trained Occupational Therapist. She is responsible for the day to day running of the Center, interviews and accepts the child if she sees that the Centre can be of benefit to the child).
There are also three people-Matron and 2 store keepers, who receive a small salary. There are ten women-5 from 6:30 in the Morning to 1:30 and 5 from 1:00 to 6:30 in the Evening, to prepare the children for school, clean, cook, wash clothes, etc. There are two helpers for the teachers, who help the women prepare the children for school, accompany the children when they are going and returning from school. There is one handcapped girl that sews and takes care of the clothes especially of the small children. There is one local man who comes for a number of hours each week to repair the wheel-chairs. Cutting firewood is a voluntary contribution of the watchmen. There are four who take alternative weeks by day or by night. So each one has two weeks in the month.

Each night 2 women and 2 men come to sleep, as we have a dormitory for small children, one for the girls and two for the boys. All the above workers, including those who are on salaries, are largely voluntary and all but three are members of The Union of the Catholic Apostolate.